Luka 3:28
Print
Neri alikuwa mwana wa Melki. Melki alikuwa mwana wa Adi. Adi alikuwa mwana wa Kosamu. Kosamu alikuwa mwana wa Elmadamu, Elmadamu alikuwa mwana wa Eri.
Neri alikuwa mwana wa Melki, Melki alikuwa mwana wa Adi, Adi alikuwa mwana wa Kosamu, Kosamu alikuwa mwana wa Elmadamu, Elmadamu alikuwa mwana wa Eri,
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica